Samaki Samaki wafungua migahawa mingine inayojulikana kama KUKU KUKU

Habari wadau wa JF,

Wamiliki wa Samaki samaki waja na brand nyingine ya migahawa yao inayojulikana kama KUKU KUKU,mainly chakula chake kitakuwa Kuku Choma,Kuku Mchemsho etc

Nawasilisha.
kuku kuku mpaka uyu kuku apigwe marufuku
ili jina kama lilivyo samaki samaki limekaa kama kiutani utani lakini baadaye linakuja kuwa jina kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…