Samaki (Sato na Sangara) wanahitajika Dar es salaam, please tuwasiliane

Democrat7

Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
32
Reaction score
11
Natafuta supplier wa samaki aina ya Sato na Sangara. Mimi niko DSM. If interested please nicheck by whatsapp kwa namba hii: +255769141105.
 
Samaki wamejaa Pale Kipawa kiwandani Alpha Crust nenda na order yako tu wanakuletea kwa makontena.. Samaki hao wengi ni from Mwanza hapa Dar wanahifadhiwa tu kwenye ma cold room
 
unajua bei yao?
 
Hivi wafugaji wa Sato mpo wapi?
Mbona dili nje nje hizi.Aisee watu mpo kwenye Siasa tuuuuu,fursa kibaooooo
 
Back
Top Bottom