Samaki Ukishamvua majini..............?????

Ni kazi ngumu kupata majibu kwenye ushindani!Unapojadili jambo epuka umimi!Utapata jibu!
 

Sasa chakula na mavazi hao wanawake hawakuwahi kupata kabla? Hilo tendo ni moja ya misingi inayoshikilia ndoa, kama halipo sioni maana ya kuitana "wanandoa".

Alafu mimi nilidhani hili tatizo lipo kwa wanawake zaidi (uchoyo wa penzi) kumbe wanaume nao wamo sana tu?
 

Halafu sometimes sisi wanaume tunakuwa vituko sana
Tuna macho halafu hatuoni na masikio ila hatusikii
Tunayaona mambo yanavyokwenda kwa hao hawara zetu na ndani ya ndoa ila wala hatushtuki
Unawez akukuta ndoa ya mtu imepoa sana yaani mke kila mara hana raha
Anaishi pale kwa mwanaume kwa ajili labda ya watoto wake kutokana na vitendo vinavyofanywa na mume wake
Mume huko kwa hawara anagonga tuu mara gari mara nyumba mara sijui pesa za kupangisha nyumba huku watoto na mke wake wanakula dagaa na kauzu ambao hata hawana raha nao hata kama kimepikwa vizuri kiasi gani kwa kuwa mke ndoa anaiona chungu tayari
Hana raha na mume wake so hata chakula kwake badala ya kuwa kitamu afurahie ndoa yake anakiona kibaya
 

Lizzy tatizo liko hapo kw aupande wetu sisi wanaume kuona kuwa ukishamuoa mwanamke kazi yake ni kupika, kula kufanya usafi wa nyumba na wewe mwanaume kumjazia vyakula na mavazi mazuri ndani ya ndoa
Kile kilichowaweka karibu ambacho ni unyumba kinakuwa kinapatikana kwa masharti hapo atakapojisikia mume
Tatizo sio kwamba hatufanyi ila huko nje kwenye hawara na kidumu wamedominate so kw anje kila kitu kiko sawa ila ukija ndani ni mpaka mwanaume ajisikie kufanya na hapo ndipo tatizo linaanzia
 

Miaka ya karibuni wanaume wakekuwa wanalaumiwa sana kwa hili. Na lawama nyingi zimeelekezwa kuwa na idadi kubwa ya vimada.
 

Kwa kweli, wanandoa, kwa uzembe wetu wenyewe, tumeishia kujibebesha mizigo mikubwa sana.
Uwaacha watoto wa damu yako wateseke, leo hii ukalee watoto wa hawara?
 
Sex is 1st pillar of successful marriage!

This is the fact which can not be refuted. even Maslow, put sex high on the hierarchy of human needs....
Ukishakula ukashiba, ukishapata social recogniation, next is sex......
 
Kwa kweli, wanandoa, kwa uzembe wetu wenyewe, tumeishia kujibebesha mizigo mikubwa sana.
Uwaacha watoto wa damu yako wateseke, leo hii ukalee watoto wa hawara?


Sometimes akili zetu wanaume tunazijua wenyewe na zinatutosha sisi wenyewe
 
Ila huko nje (nyumba ndogo) ghafla maana inabadilika?
Hao ni watu wasiojielewa.

Kuna wakati familia inakuwa na watoto wadogo, ina maana kutakwua na kelele za watoto na mengine menghi yanayoendana na hilo.
Mbaya zaidi ukute mmezaa mfululizo. Kwa wanaume wasio ana busara, hizo ni kero na perfect excuses ya kwenda kwa hawara.
Kuna baadhi ya wanaume hawalali na wake zao wanapojifungua, kwa kusingizia wanataka kupumzika wasisumbuliwe na kelele za mtoto usiku.
 
Ni kazi ngumu kupata majibu kwenye ushindani!Unapojadili jambo epuka umimi!Utapata jibu!

Unajua hili swala linaweza kuchukua pande zote mbili. Kuna wanaume wengi wanaolalamika kwamba bada ya ndoa wake zao wamebadilika sana, wamekuwa wakali sana, na wakati mwingine wanashindwa kuwatogautisha na watoto wao. wakti mwingine kama mwanaume hana busara, anaweza kuona kuwa kwa hawara ni better option.
 
Mwanamke au Mwanaume wote tunatakiwa kutendeana haki kwani kila mmoja atamuacha baba na mama yake naye ataambana na na mwenzi wake kwanini msipeane haki zenu kqa kupatana?
 

Hii imekaa kama DEBATE YA KISHULE SHULE HIVI
 
Mwanamke au Mwanaume wote tunatakiwa kutendeana haki kwani kila mmoja atamuacha baba na mama yake naye ataambana na na mwenzi wake kwanini msipeane haki zenu kqa kupatana?

Unayoyasema ni "theory" ambazo ni wachache sana kwenye maisha ya ndoa wanatimiza. wengi inakuwa kimyume.
 
lkn mbona wanawake wenyewe ndio huwa na visingizio vingi wakati wanaume wanahitaji tendo la ndoa iweje leo walalamike
 
wanawake tambueni pale mwanaume anapohitaji tendo la ndoa mara ya kwanza , ya pili na tatu ukamkatalia najenga uadui na wewe, anakuona ww sio rafiki yake bali mtu katili na matokeo yake anaenda kutafuta nyumba ndogo ambao wengi wao kila jamaa anapotaka anapewa

hivyo mkiwabania wanaume mjue hayo ndiyo matokeo yake
 
nawashauri wanawake waache visingizio wakati jamaa anataka tendo la ndoa kama kuchoka n.k. ili walinde ndoa zao

vinginevyo wataishia kunawa bila kula na matokeo yake watakula wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…