huyo atakuwa sio wa kweli bali ni wa kutengeneza tu kwa sababu, ukiangalia hayo meno yake na hiyo size ya mdomo alipaswa kuwa na tumbo kubwa la kuweza kuifadhi chakula ambacho anakula, haiwezekani kuwa na kinywa na meno kama hayo alafu hana tumbo kabisa.