Samaki wa Magufuli wafufua mgogoro wa muungano?

Hicho nacho ni kipaumbele cha maendeleo ya nchi "Kugawana Samaki"
 
Hivi mbona sikuwai kuwasikia toka siku wamekamatwa samaki hawa? iweje leo? ama kweli mchuzi mtamu jaman teh, teh, teh

bila shaka wako tayari kulipia na gharama za utunzaji kwa 40%, au sio ndugu zetu?


,,,,Kama serikali kamilifu,basi ni wajibu wa SMZ kuchukua jukumu lake hilo la kulipia pia GHARAMA za kuwatunza hao samaki kwa mgawano huohuo wa 40%, tatizo hata wakipewa percent hiyo ambayo inatambuliwa kisheria katika jumla ya tani 260 huko za hao samaki,ni mgao mkubwa kwelikweli,hivi na tatizo hili la umeme tutawatunza vipi hao,huyo waziri aache kutuhamishia "goal posts" sasa,tuna tatizo la msingi la umeme zanzibar,Serikali ya SMZ inatusaidia vipi kutoka hapa???
 
Huu Muungano una kero kweli kweli, ningekuwa na uwezo ningeuvunjilia mbali ili nchi ile cha kwao.
Hicho ndio kinachotakiwa, sio kama Zenji wanataka hao samaki waliotoka kwenye mafriza.

Zanzibar wamezungukwa na bahari, ni sehemu ambayo watu wake wako very picky kwenye masuala ya vyakula.Mwananchi ananunua samaki alietoka kwa mvuvi sasa hivi, tena anachagua hadi macho ya samaki yako vipi.Kama yamelegea anakataa, anakwambia huyo amekaa sana hamtaki.

Sema Zanzibar imechoshwa na muungano, uvunjwe tuu au tutaendelea kufanya vitimbi vya namna hii!

Na wala bado, ndio kwanza ngoma imeanza 2010!
 

Mawazo potofu tu tunayoyaweka mbele. Kwani mipaka ya bahari inagawiwa kwa wingi wa watu?
 
Duuh, nimetoka kupata msosi huku kitoweo kikiwa ni samaki hao wa makufuli. Naona wanaolalamika watakuwa wamechelewa kwani ndo wanaliwa hivyo !!
 
Hawa jamaa wala siwaelewi....... yaani wao kulalama tuuu....... hiyo storage charge hawaizungumzii kabisaaaa.....!!!!! Mafuta wanataka 100%


Wewe Babu hiyo storage ni pesa ya Muungano. Si mnaupenda Muungano nyie?
 
Hawa wamezungukwa na maji kila upande, na chakula chao cha kila siku ni samaki, lakini hawaridhiki hadi wawapate hao wa makufuli...huu ni utoto dizaini...huh!
Au watu wa pwani nielezeni, jodari ni mtamu kuliko CHANGU?



Mmekuwa mnakula vilivyo vyenu (madini na gesi) wao wakinyamaza basi hata hawa samaki waliovuliwa kwao wanyamazee? Mnapogosha shuka sana nyie!
 

Zidumu fikita za Kada Pakacha!
 
naomba kufahamu,
Eneo la bahari ambalo ni sehemu ya Zanzibar linafikia asilimia 40?



Katika akili yako ukishatoka visiwa vya Zanzibar kuelekea baharini kuna umbali gani kabla kuingiliwa na mipaka ya nchi nyengine?

Hatafu angalia Tanganyika kuelekea baharini ina masafa gani kabla ya kukutana na nchi nyengine kama Msumbiji na Kenya. Kama ulisoma hesabu shule ya msingi hiyo inatosha kukupa jawabu.
 


Macho yako itabidi uyakodowe sana kwani huko kumalizana naona kuko Bara sasa, umeyasikia ya waraka orijino na waraka feki?
 
UNAWEZA KUTUSAIDIA KITU KIMOJA KAKA...!tunaomba wewe au INVISIBLE mui-upload sheria ya muungano hapa!...tunaweza jadili kwa hoja za msingi

Naona unaomba kitu adimu sana juu ya muungano wetu na kwa kawaida hata ukiletewa basi utakuwaq na saini mya upande mmoja tu!
 
Hivi mbona sikuwai kuwasikia toka siku wamekamatwa samaki hawa? iweje leo? ama kweli mchuzi mtamu jaman teh, teh, teh

bila shaka wako tayari kulipia na gharama za utunzaji kwa 40%, au sio ndugu zetu?

Ilikuwa waseme hao watu wasikamatwe? au waseme kitu gani?
Ama hilo la malipo kwani hizo pesa si za Muungano? Mbona ni wagumu kufahamu?
 

Huyu naye kituko tu! Sasa kwani kama aliliona hilo kwa nini asingemwambia kabla ya kutoa maamuzi! Au alikuwa anamtegea akishasema tu na yeye aranduke na maneno yake ili watu wamuone na yeye yupo Khaaaaa aende zake bana
 

Una maana kuwa Zanzibar ni sawasawa na taasisi kama magereza au vipi? Huo unaozungumza wewe ni udhalilishaji kwa sehemu moja ya Muungano na halafu hiyo tani 80 iliyopelekwa na Magufuli ilipelekwa kwa misingi gani iwapo Zanzibar kama Taasisi haikufata utaratibu wa kuomba?

Hilo la kesi ulitaka kufunguliwe kesi ngapi au mawaziri wangapi wawe wasemaji wa suala moja?

Mbona mnatufanya tuanze kufikiria uwezo wa wengine kufikiri?
 

Unaonaje mtu mmoja huyo angetoka Zanzibar kwanza Mnyamwezi anajuwaje jodari kuliko mtu wa Zanzibar? Ama Kambare nakubaliana nawe huyo mtu angetoka Tabora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…