Samaki wa urembo wanaondoa stress ona hapa

Samaki wa urembo wanaondoa stress ona hapa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
Bei ni nafuu sana wawil elf 7 tu piga simu kawaida au whats app 0712505049 had mkoani wanafika kwa bus .
 

Attachments

  • VID-20241117-WA0009.mp4
    1.6 MB
  • VID-20241110-WA0020.mp4
    636.9 KB
  • image_search_1733071045645.jpg
    image_search_1733071045645.jpg
    7.9 KB · Views: 5
  • image_search_1733070621664.jpg
    image_search_1733070621664.jpg
    36.3 KB · Views: 5
  • image_search_1733067397483.jpg
    image_search_1733067397483.jpg
    93.6 KB · Views: 3
  • image_search_1733067313715.jpg
    image_search_1733067313715.jpg
    38.1 KB · Views: 3
  • image_search_1733067224514.jpg
    image_search_1733067224514.jpg
    52.3 KB · Views: 5
  • image_search_1733067098577.jpg
    image_search_1733067098577.jpg
    133.6 KB · Views: 3
  • image_search_1733066996106.jpg
    image_search_1733066996106.jpg
    25.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241201-174247_Gallery.png
    Screenshot_20241201-174247_Gallery.png
    1.2 MB · Views: 5
  • Screenshot_20241201-174203_Gallery.png
    Screenshot_20241201-174203_Gallery.png
    1.1 MB · Views: 6
Nani aninunulie samaki jamani namimi niondoe stress🤣🤣
 
Hao samaki ni kweli huondoa stress Kwaharaka haraka unaweza usiamini hichi kitu ila ukitulia ndio utapoona kweli huondoa stress.

Kuna siku nilikuwa na stree toka asubuhi sasa ikatokea nimekwenda mahali katika ofisi moja sasa hapo reception kulikuwa na hao samaki hapo, reception kulikuwa na foleni na ikabidi nisubiri na kusubiri huko ni kwakuwaangalia hao samaki jinsi vana yotembea na kuzungunguka zunguka mara wanafanya ichi mara kile. Sasa hapa stress iliondoka kutokana na focus niliyoiweka kwao katika kuwaangalia na kuwaangalia huko kulinipa furaha na furaha hiyo iliondoka stress niliyokuwanayo. Ukiwa na stress kawaida unakuwa ni mtu wa huzuni sasa kama utakuwa na furaha au mtu akuchekesha lazima ile hali ya mwanzo itaondoka
 
Back
Top Bottom