Samaki wa urembo wanaondoa stress ona hapa

Mbona hujawawekea hata maua, konokono kidogo kwenye Aquarium ndo huwa naona wanavutia zaidi. Unapatikana wapi nimewakubali sana hao white & red na wale kama Gold
 
Maskini ni wewe unayeomba ununuliwe vitu
Ungajiweza usingeomba
Omba omba wewe aka matonya
Ngoja nikuignore tu 🤣
Hasira zako na stress za maisha unahamishia mitandaoni Bro?!
 
Mbona hujawawekea hata maua, konokono kidogo kwenye Aquarium ndo huwa naona wanavutia zaidi. Unapatikana wapi nimewakubali sana hao white & red na wale kama Gold
Hiz sample tu za picha hizo zipo nipo banana ukonga
 
Attachments

  • Screenshot_20241204-082944_WhatsAppBusiness.png
    1.1 MB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…