Samaki wa urembo wanaondoa stress ona hapa

Wanaliwa?

Wanakua?

Wanazaliana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanazaliana ndio wanakua kila samak ana size yake kwenye kuliwa inategemea na wewe mwenyewe ndio maana kuna watu wanakula kitimoto wengine hawal wengine nyoka na panya wengine hawal
 
Kwahiyo pair ya dwarf gurami, pair ya Angel na pair ya Tetra inakuwa 32k? usafiri 10k jumla 42k sio?
pair elf 7 pair 3 elf 21 usafit elf 10 jumla 31
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…