Samaki wabichi wa maji baridi (perege/tilapia,kambale&kamongo) DSM

Mildotty

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2016
Posts
278
Reaction score
198
Habarini wanajamvi..

Kwa mahitaji ya samaki wabichi kutoka maji baridi karibuni sana.. Tunauza kwa bei ya Jumla na rejarereja..

Kg 1 unapata kwa 11,000 na bei inapungua kadri utakavochukua kilo nyingi kuanzia kg 5 na kuendelea unapata kwa bei ya Jumla..

Karibuni sana.. Ofisi zetu zinapatikana Ubungo-Riverside Dsm na Delivery pia tunafanya..

Mawasiliano haya hapa chini

Watsap 0672323369


 

Attachments

  • DBD23459-BF2A-41AE-85CB-BA53B716F0DD.jpeg
    76.1 KB · Views: 22
  • 0FE1E2A2-99FF-45A0-BBA6-BA13C6A1602D.jpeg
    132.8 KB · Views: 16
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…