ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hapo kwenye chewa hapooo..!! AU ROCK FISH, huyu ni hatari..!! Songoro sijamuelewa bado. Jodari naye si haba..!!Tunaoishi pwani ya bahari ya Hindi tunaenjoy sana masamaki poleni yenu mnaokaa bara.Sasa katika samaki wote wenye bei kubwa ambao pia ni rare sana kwa wavuvi kuwavua ni:-
1.nguru
2.songolo
3.kingfish
4.jodari
5.chewa
Kwa mfano kuna professa hapo UDSM Na technian wake walikuja mtwara wakataka samaki nguru wamfanyie research utumbo wake walimpata ila walimnunua laki tano(500,000).
Jitahidi weka na picha chief! Maji chumvi/ bahari ina samaki wengi wa aina tofauti tofauti.Tunaoishi pwani ya bahari ya Hindi tunaenjoy sana masamaki poleni yenu mnaokaa bara.Sasa katika samaki wote wenye bei kubwa ambao pia ni rare sana kwa wavuvi kuwavua ni:-
1.nguru
2.songolo
3.kingfish
4.jodari
5.chewa
Kwa mfano kuna professa hapo UDSM Na technian wake walikuja mtwara wakataka samaki nguru wamfanyie research utumbo wake walimpata ila walimnunua laki tano(500,000).
Nguru anazidi wote kwa utamu chewa yeye kwa supuHapo kwenye chewa hapooo..!! AU ROCK FISH, huyu ni hatari..!! Songoro sijamuelewa bado. Jodari naye si haba..!!
By the way, samaki kwa bei rahisi nenda Msimbati. Kule 1kg ni Tshs 6,000/- bila kujali aina ya samaki.
Hasa kichwa..!!!Nguru anazidi wote kwa utamu chewa yeye kwa supu
Jitahidi weka na picha chief! Maji chumvi/ bahari ina samaki wengi wa aina tofauti tofauti.
Inawezekana wewe ukawa sahihi nahisi nimechanganya madesa kidogoJe nguru si ndio king fish ama!?
Siku zote mie najua nguru ndio huyo huyo king fish kwa lugha ya marehemu queen Elizabeth
Naona wanamsifia sana huyu, itabidi siku nimtafute
PichaSongoro kwa supu ni balaa, namuelewa sana.
Nguru ndie kingfishJe nguru si ndio king fish ama!?
Siku zote mie najua nguru ndio huyo huyo king fish kwa lugha ya marehemu queen Elizabeth
Safi,Tunaoishi pwani ya bahari ya Hindi tunaenjoy sana masamaki poleni yenu mnaokaa bara.Sasa katika samaki wote wenye bei kubwa ambao pia ni rare sana kwa wavuvi kuwavua ni:-
1.nguru
2.songolo
3.kingfish
4.jodari
5.chewa
Kwa mfano kuna professa hapo UDSM Na technian wake walikuja mtwara wakataka samaki nguru wamfanyie research utumbo wake walimpata ila walimnunua laki tano(500,000).
tuna kwa kiswahili jodariSafi,
1) Je, wana magamba?
2) Kuna yule anaitwa TUNA kwa lugha ya wenzetu ndiyo yupi?
Ahsante
Kuna kipindi net geo kama sikosei kinaitwa catching Tuna aisee huyo samaki sokoni anabei kubwa sanaSafi,
1) Je, wana magamba?
2) Kuna yule anaitwa TUNA kwa lugha ya wenzetu ndiyo yupi?
Ahsante