Mwiba1 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2016 Posts 1,122 Reaction score 2,445 Feb 15, 2024 #21 Pekejeng said: Kuna kipindi net geo kama sikosei kinaitwa catching Tuna aisee huyo samaki sokoni anabei kubwa sana Click to expand... Huyo tuna pamoja na salmon wanatumika kutengeneza sushi ndio maana bei imechangamka
Pekejeng said: Kuna kipindi net geo kama sikosei kinaitwa catching Tuna aisee huyo samaki sokoni anabei kubwa sana Click to expand... Huyo tuna pamoja na salmon wanatumika kutengeneza sushi ndio maana bei imechangamka
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Feb 15, 2024 #22 Chariton003 said: Safi, 2) Kuna yule anaitwa TUNA kwa lugha ya wenzetu ndiyo yupi? Ahsante Click to expand... Samaki wa Magufuli. Jodari ni watamu sana
Chariton003 said: Safi, 2) Kuna yule anaitwa TUNA kwa lugha ya wenzetu ndiyo yupi? Ahsante Click to expand... Samaki wa Magufuli. Jodari ni watamu sana
E elijaah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 1,094 Reaction score 2,389 Feb 15, 2024 #23 Nguru ndo samaki wa thaman san kwa upande wa bahar. Vp kuhuc kolekole ni watamu sana. Uyo Jodar hana uthamani wowote ndo samaki wa pata sote kule kisiwani Pemba.
Nguru ndo samaki wa thaman san kwa upande wa bahar. Vp kuhuc kolekole ni watamu sana. Uyo Jodar hana uthamani wowote ndo samaki wa pata sote kule kisiwani Pemba.