Samaki wazuri wa kukaanga

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Kwenye pita pita nikakutana na samaki hawa, muuzaji anawapatia sifa sana kuwa ni samaki wenye virutubisho haswa protein.


Sijafahamu ni samaki kutoka sehemu gani, ila nilipokula nimepata kuona ni samaki watamu sana, nyama laini na yenye upekee wa tofauti.
 
Hawa samaki gani Familiar mbona wana Vichwa kama nyoka aina ya Cobra, alafu unasema ni watamu duuuh
 
Haya ni makambale... Huku Arusha mara nyingi wanayatolea bwawa la mavi kama wasemavyo wenyeji
 
w Kama kambale vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…