Samaki

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Kisawe cha neno beseni ni karai nini kisawe cha neno samaki? Msaada please
 
duh nimeamua kucheka tu,yan nimecheka mbaya khaaaa nimeamini mi sijui kiswahili
 
2we 2namiliki kamuc ya TUKI. hata kuipitia unapokwama ktk lugha ye2 adhimu.
 
tuambiane maana ya kisawe kwanza!
Mmweee, kweli mi sijui kiswahili
 
Mkuu D.
Tuambiane hili neno Kisawe ni kutoka lahaja ipi. KIUNGUJA, KILAMU(KIAMU) KIMTANGATA;KIPEMBA; KINGAZIJA; KIMOMBASA?
 
Hata kisawe cha beseni si karai...havina uhusiano kabisa
Karai ni la chuma na beseni ni la plastic
Pia si kila kitu kina jina mbadala samaki ni samaki hawana kisawe
 
Kisawe maana yake n nn?

.

Kisawe (wingi visawe) maana yake ni maneno yenye maana sawa


Kisawe = Synonym :

synonym:


1. A word having the same or nearly the same meaning as another word or other words in a language.
2. A word or an expression that serves as a figurative or symbolic substitute for another.


Mfano:

Here are more examples of English synonyms:


  1. "buy" and "purchase"
  2. "sick" and "ill"
  3. "quickly" and "speedily"
  4. "on" and "upon"


Haya sasa nimeshawambia maana sasa mnaweza kuendelea na mjadala wenu
.
 
Kamanda hapa ni jukwaa la lugha, sasa ukiandika tena hivi itakuwa hujalitendea haki jukwaa hili, kwani utapungukiwa na nini kama ukiandika neno sahihi? kwenye kamusi imendikwa hivyo? Kuna watu wanajifunza kiswahili sanifu hapa, kwa njia hii tayari umeshawapotosha! Nadhani hii inafaa zaidi kwa watoto wa shule tena kwenye simu na sio kwa Great Thinkers :smash:
2we 2namiliki kamuc ya TUKI. hata kuipitia unapokwama ktk lugha ye2 adhimu.
 
2we 2namiliki kamuc ya TUKI. hata kuipitia unapokwama ktk lugha ye2 adhimu.

hizi 2(mbili) unazoandika zinamaana gani? je ni lugha mbili hizo? unamaana unamiliki lugha mbili adhimu? ni zipi?

"mbiliwe mbilinamiliki kamuc ya TUKI." dah umeniacha mbali sana ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…