Samantha wa BBA na Idris mahaba Niue hau ze project mujini

mimikaye

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
88
Reaction score
48
Okay shemeji wifi yetu naona yuko na Mr not Laiti. .ila sielewi kama ndo ze project hau
Hii ni genuine ..maaana mujini siku hizi project nyingi mno
 
Wakati ule wanamsingizia anatoka na wema sijui wanamuomba atoke nae wakati wanafanya kazi pamoja alikuwa anarusha rusha za binti huyu kuonyeshea ni wake huyo vi captions hata sivikumbuki. Na kwa white party ya Zari alikuwepo nayo ilisomeka ni babe wake huyooooooo
 
huyu wanjiru basi aache drama kwa waume za watu sasa...mi nkajua idris singo boy make hadi anang'ang'aniziwa mabusu atakuja anzishiwa timbwili ohooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…