Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Kupangwa au kutopangwa kwa Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye weledi wa hali ya juu kufundishia timu ta Taifa Stars.
Kumbuka timu ya Taifa Stars ndio timu pekee yenye wapenzi wengi wa soka kuliko hata Simba na Yanga hapa Tanzania. sasa kumchagua kocha mzalendo ambaye background yake ya kufundisha timu za ligi kuu Tanzania ni mbovu , huu huu ndo mzizi wa wa kweli wa kutoifanta timu icheze vizuri.
Watanzania tuwe tunahoji uwezo wa awali wa kocha wa Taifa Stars. kama kocha huyo aliwahi kufanikiwa kupeleka timu World Cup, AFCON na kubeba kombe la klabu bingwa Africa basi tumkubali atufundishie timu yetu.
Kwa kweli level hii ya kocha wa kimataifa itatufanya tuwe tunajazana uwanjani sio tuu kuona ushindi bali pia soka la kitabuni bora.
Soma Pia: Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025