Samatta agonga mbili timu yake ikishinda 3-1

respect wa boda

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
4,556
Reaction score
3,842
Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea klabu ya KRC Genk yaUbelgiji Mbwana Samatta usiku wa November 30 2016 ameingia kwenye headlines baada ya kufanikiwa kuiongoza timu yake ya Genkkupata ushindi dhidi ya Waasland-Beveren.

Samatta akiwa na KRC Genk katika uwanja wa ugenini amefanikiwa kufunga magoli mawili katika ushindi wa goli 3-1, Samatta alifunga goli la kwanza dakika ya 15 goli la pili dakika ya 42 kabla ya mnigeria Wilfred Ndindikufunga goli la tatu dakika ya 80.

Wenyeji wa mchezo huo Waasland-Beverenwalifanikiwa kupata goli la kufutia machozi dakika ya 89, kupitia kwa mchezaji wao Zinho Gano, huo ulikuwa ni mchezo wa Kombe laCroky.

Maoni Binafsi,
Tujifunze kuwa, kuna baadhi ya vipindi vigumu kwa Wachezaji wetu, anapofanya vibaya usiponde, Mpe moyo.

ALL THE BEST SAMAGOAL
 
mechi kumi na 15 goli la tatu arud tu azam ajipange upya

kaleris mech 14 goli nane


Mkuu appoh...sioni tatizo ukizingatia hana mda mrefu pale genk,naimani siku zinavyoenda atazidi kuonyesha uhodari na bado umri unamruhusu pia...


Kuhusu kuja Azam fc pia ni sawa tu, lkn sio kigezo cha yeye eti kashuka kiwango, binafsi kama ataamua kwa hiyari yake kuachana na Genk na kurudi nyumbani kujiunga na Azam itapendeza pia, Bakhressa kama ameweza kuwanunua wachezaji wakubwa kutoka nje,makocha wa-espanyola kwa samatta atashindwa nini? Mbona easy tu....
 
samata kachezq dk nying kuliko karelis
 
Hongera yake KARELIS Nafikiri huyu jamaa ni Challenge nzuri kwa SAMATTA. LAkini kwa Mechi ya Jana SAMATTA ni Zaidi..
sio mech ya ligi ni belgium cup like bonanza flan
 
Kwa hyo samnata ni mwanamke
sasa sijui mimi maana nashangaa ka wewe maana pesa anayo hana mtoto wala habar na madem labda niamze kumchunguza kujua jinsia yake kiundan
 
Kwa mtazamo wangu Samagoal atakuja kuwa mchezaji tegemewa wa team ya Barcelona au Man united. Tumuombee na tuache roho mbaya type ya JPM
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…