Mungu ibariki Tanzania
TP Mazembe imetinga fainali ya ligi ya mabingwa africa baada ya kuifunga el merreikh goli 3 bila huku mtanzania mbwana samatta akifunga goli 2 na kung'aa vilivyo. mtazania mwingine tom ulimwengu aling'aa kwa kuoa assist ya goli 1. Mechi ya kwanza el merrekh walishinda goli 2 kwa 1 nchini sudan. TP Mazembe sasa itakutana na USM Alger katika fainali
kesho anarudi kuua Mambas