Samatta akila "bata" na mashabiki wa Genk

Samatta akila "bata" na mashabiki wa Genk

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg
image.jpeg


Hii ni hafla iliyohusisha wachezaji wa Genk na mashabiki wao,ilikuwa na kupiga starehe mpaka kucheee...Mbwana Samatta katikati ya mashabiki wa Genk wakila "bata"
 
ha ha ha mwache aenjoy alipofika ni safari ndefu sana japo haijafikia mwisho.. benteke, kevin da bruyne, curtois kipa wa chelsea na majembe kibao yamepita genk ya samatta.. so mwache afurahi
 
ha ha ha mwache aenjoy alipofika ni safari ndefu sana japo haijafikia mwisho.. benteke, kevin da bruyne, curtois kipa wa chelsea na majembe kibao yamepita genk ya samatta.. so mwache afurahi
 
Ndio huyo mwenye nywele kiduku,mbona samata Ana sura ngumu huyo hapo Ana kasura kalaini
 
Huyu kijana awe mwangalifu. Jamaa watamlisha kiti moto hivi hivi.


Mimi mwenyewe alimanusura leo nikile kitimoto bahati tu nikaona jina ''Jambon'' nikashtuka du jamaa aka apologise sana ila mwishoni akasema you can eat the rest ...mhhhh wakati zimechanganyika.... nimeshinda njaa ila jioni nimekandamiza mikate mikavu na nyanya mbichi Ulaya kwa misosi shida aisee .. tumezoea supu kwa mangi na chapati au vitumbua kwa mama semeni.........by the way samata kama uko humu JF kakao niko Bordouex hapa France karibu ila weekend ijayo narudi home
 
lugha hapo atajiona anatengwa bure
 
Aliyepost hii kitu mbona ametupa quiz? Wewe umeweka kichwa kikubwa Sammata akila bata halafu unaweka picha ambazo Sammata haonekani! Kweli uandishi ni fani
 
Back
Top Bottom