Huyu kijana awe mwangalifu. Jamaa watamlisha kiti moto hivi hivi....Mbwana Samatta katikati ya mashabiki wa Genk wakila "bata"
Huyu kijana awe mwangalifu. Jamaa watamlisha kiti moto hivi hivi.
Bora ya Balloteli, asijekuwa kama yule Mcheza kikapu wa Kibongo aliyelewa sifa.Samatta angalie usiwe km ballotelli
Mpaka sasa kwenye picha sijamuona! Eti kavaa kofia kaigeuza nyuma! Dah, ngoja niendelee kumtafuta!Adi kumpata kwenye picha ni kama quiz
...na hata usomaji ni fani!...unaweka picha ambazo haionekani! Kweli uandishi ni fani