Samatta alienda nchi sahihi

Nchi inaweza ikawa na ligi yenye ushindani mkubwa ulio katika kiwango bora kabisa, lakini timu ya taifa husika ikawa mbovu tu, and vice-versa
 
...hii nchi inabebwa na ubora wa wachezaji wake wanaocheza ligi za nje,sio hao wanaocheza ligi ya ndani,wao kuwa juu ni kwasababu ya kina de bruyne,hazard,kompany na wengine wa nje.
 
Kabla ya kwenda nje walitokea wapi? Na kutokea kwao kulikuwa kwa bahati mbaya au planned? Kuna mengi ya kujifunza
 
Genk leo wanapiga na Standard de Liege, angalia hapa jinsi walivyopost kwenye Facebook page yao. Samata anawakilisha kwa kweli...


Matchday !!! 51 punten was het doel. Nog zes te gaan. Wij beginnen er vandaag aan !!! [HASHTAG]#krcgenk[/HASHTAG][HASHTAG]#blauwbloed[/HASHTAG][HASHTAG]#dasfrza[/HASHTAG][HASHTAG]#cobw[/HASHTAG]

Matchday!!! 51 points was the goal. Six more to go. We start there today!!! ‪#‎Krcgenk‬‪#‎blauwbloed‬ ‪#‎dasfrza‬ ‪#‎cobw‬

Translated from Dutch

— with Privat Franck Koffi, Samatta Samatta andMbwana Samatta.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…