Samatta ana tatizo gani huko Uturuki?

Samatta ana tatizo gani huko Uturuki?

Kanali_

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
6,438
Reaction score
10,180
Nimekuwa nikifatilia mechi kadhaa za team ya Fenerbahce lakini nahodha wetu takribani mechi 5 mfululizo zilizopita sijamuona akicheza na hata kwa wachezaji wa akiba jina lake halipo! Nijuzeni nini kimemkumba, au ndo yaleyale ya Villa?
 
[/QUOTE
Majeruhi mkuu
 
Ni majeruhi anauguza majeraha si unajua mashekhe za Turkey ukiwazidi soka wanakupiga misumari.
 
Nimekuwa nikifatilia mechi kadhaa za team ya Fenerbahce lakini nahodha wetu takribani mechi 5 mfululizo zilizopita sijamuona akicheza na hata kwa wachezaji wa akiba jina lake halipo! Nijuzeni nini kimemkumba, au ndo yaleyale ya Villa?
Alidanganya umri, sasa mwili na akili vinashindana.[emoji2][emoji1787]
 
Nimekuwa nikifatilia mechi kadhaa za team ya Fenerbahce lakini nahodha wetu takribani mechi 5 mfululizo zilizopita sijamuona akicheza na hata kwa wachezaji wa akiba jina lake halipo! Nijuzeni nini kimemkumba, au ndo yaleyale ya Villa?
hata mechi ambazo anacheza hakuna anachofanya. Ukitazama rating za wachezaji baada ya mechi Samatta ndio huwa na rating ndogo kabisa. Yuko over-rated sana.
 
Naunga mkono
 
Back
Top Bottom