Samatta ana tatizo gani huko Uturuki?

Ewe mchawi mwanga unawashwa ukiwa wapi tuje wanaume na mafuta tuje tukukune nyuma

Acha lugha chafu mkuu , kama hauwezi kuchangia mada na ku_attack watu bora utulie,sihitaji BAN Mkuu maana nikipigwa BAN huwa natoweka mwaka mzima siingii ili kujifunza kwahiyo sitakia nipigwe BAN maana hapa MATUSI yamelala mmakonde na mzalamo wanasubiri.
 
Acha hzo Bob , mshkaji alipatwa na majeraha...mbona karudi yupo poa na anatupia km kawa

Zipo chuki za kurithi kwenye familia ila ukishakuwa mtu mzima,unatakiwa uwe na busara kidogo ya kuficha hzo chuki

yeye ni binadamu akifeli ni lazima aambiwe ili apambane tena mambo ya kupaka mafuta kwa migongo ya chupa ndio inafelisha vijana wengi,mie nimchukie samatta ili iweje? au akifeli mimi inanisaidia nini? Watu wenye elimu ndogo bwana yaani mtu akitoa mawazo tofauti na yake basi ni chuki ,,,Nonsense!!
 
Hahahaah acha kutishia nyau bwana ..mwanaume unajisifu matusi..? Kaa kwa kutulia
 
Nikununulie hirizi na ungo ili ukamilike kua mchawi mwanga pumbafu wewe
 
Ungekuwa na elimu hata huo muda wa kumdiss samatta usingekuwa nao,

upo kwa shemeji unaangalia Africa magic Swahili unasubiri ugali uive ndo unatuandikia mavi yako km mbuzi alietoka kupandwa....
 
Ungekuwa na elimu hata huo muda wa kumdiss samatta usingekuwa nao,

upo kwa shemeji unaangalia Africa magic Swahili unasubiri ugali uive ndo unatuandikia mavi yako km mbuzi alietoka kupandwa....
Kiwango cha samata sio cha kucheza premier league. Alitakiwa abaki Belgium. Kuhusu huko uturuki sijui
 
Ungekuwa na elimu hata huo muda wa kumdiss samatta usingekuwa nao,

upo kwa shemeji unaangalia Africa magic Swahili unasubiri ugali uive ndo unatuandikia mavi yako km mbuzi alietoka kupandwa....

Mkuu huwa sina mzuka wa kugonga MANGAPULILA naona unajileta leta sana ubanduliwe ,nenda Mombasa au Jambiani wapo watu wanaozibua MITARO watakupa MOTO utatulia utakuwa udandii dandii comments za wanaume wa JF.
 
Hakuna mtanzania anayeweza kucheza mpira Europe ni kudanganyana tu humu. Wachezaji wa kitanzania ni wa kuchezea kwenye vyombo vya habari tu.

Ona sasa akina Simba wameshakuwa wanasiasa eti kutafutana na wabunge lini waliona vilabu vinaenda bungeni, kufanya nini!! Nonsense kabisa.

Tanzania is not a known footballing country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…