Samatta asugulishwa benchi tena. Mtangazaji anauliza Samatta yuko wapi?

Samatta asugulishwa benchi tena. Mtangazaji anauliza Samatta yuko wapi?

Tindikali

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
2,086
Reaction score
2,823
Mdogo wetu mambo si mambo

Aston Villa vs. Chelsea

dakika ya 15, bila bila

Ally Samatta hayumo

Mtangazaji kasema namba yake imechukuliwa na Keinan Davis, in case you are wondering where he is
 
Kikubwa aongeze bidii ataonekana tu, tusianze kunyooshea watu vidole. Uzuri mpira huchezwa hadharani, ukiwa unafanya vizuri dunia nzima itaona.
Mdogo wetu mambo si mambo

Aston Villa vs. Chelsea

dakika ya 15, bila bila

Ally Samatta hayumo

Mtangazaji kasema namba yake imechukuliwa na Keinan Davis, in case you are wondering where he is
 
Ally samatta ni baba yake mbwana samatta, kama unamaanisha baba yake mbwana ally samatta kwel hatopangwa kamwe kwasababu Aston villa wamemsajili Mbwana Ally Samatta na sio Ally samatta

Hilo jina la Mbwana wazungu linawapa toka akiwa Genk, so wanatumia zaidi ya Ali Samatta
Ali wapo familiar nalo
 
Samatta ashapambana na challenges nyingi so hata hili litapita
 
Tusisahau na umri wake pia jamani.. hata kama kazaliwa mbagala uzee hauchagui umezaliwa wapi unakukongoroa tu
 
Back
Top Bottom