H hahaha always done JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 1,126 Reaction score 1,973 Jun 9, 2016 #2 Aisee; ckujua kama kuna high level za kuweweseka; wewe wewe wewe. Amka unaongea peke ako
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 9, 2016 #3 then....????
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Jun 9, 2016 #4 Vitu vingine bhana
B Baba Kiki JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,544 Reaction score 943 Jun 9, 2016 #5 Baba yake alishamwekea hiyo changamoto wakati yuko TP Mazembe, akawa anamtoza Tsh. 500/= kila anapokosa penati. Ugumu wake ni kuwa, ni lazima ailete hiyo nyumbani yeye mwenyewe.
Baba yake alishamwekea hiyo changamoto wakati yuko TP Mazembe, akawa anamtoza Tsh. 500/= kila anapokosa penati. Ugumu wake ni kuwa, ni lazima ailete hiyo nyumbani yeye mwenyewe.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 9, 2016 #6 Baba Kiki said: Baba yake alishamwekea hiyo changamoto wakati yuko TP Mazembe, akawa anamtoza Tsh. 500/= kila anapokosa penati. Ugumu wake ni kuwa, ni lazima ailete hiyo nyumbani yeye mwenyewe. Click to expand... Duh....!! Hii ya juzi kaipeleka??
Baba Kiki said: Baba yake alishamwekea hiyo changamoto wakati yuko TP Mazembe, akawa anamtoza Tsh. 500/= kila anapokosa penati. Ugumu wake ni kuwa, ni lazima ailete hiyo nyumbani yeye mwenyewe. Click to expand... Duh....!! Hii ya juzi kaipeleka??