Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
- Thread starter
-
- #21
Kwani ku comment insta ina gharimu bei
Ukute ni kijana uko chuo na mkopo unapata ila hujui implication ya kuongezwa Bei ya kifurushi Cha internet kwenye kucomment ujinga InstagramKwani ku comment insta ina gharimu bei
Wabongo ni noma .Wabongo kwa mitandao hatujambo,page ya Pompeo pia imejaa wabongo ni kiswanglish tu huko..
Afu utasikia oh tcra hivi hii mitandao hamuioni inavyotupandishia bei za vifurushi au mmeshindwa kazi?yaani GB 2 ndani ya masaa mawili!Wabongo ni noma .