Samatta baki Genk tengeneza jina pale

Samatta baki Genk tengeneza jina pale

Luton4554

Member
Joined
Apr 25, 2019
Posts
67
Reaction score
99
Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.

1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan Genk) yaani alikosa namba Brighton Pale ila karudi
5.Tammy Abraham
6.Cenk Tosun
7.Ayoze Perez
8.Kelechi Ihenacho
9.Dwight Gayle
10.Gerard Delofeu
11.Troy Deeney
12.Andriy Yarmolenko
13.Adama Traore
14. Diego Jota
15. Ivan Cavaleiro.

Sijawataja kina Aurtonovic hapo na wale wa Championship kama Aleksandar Mitrović (mserbia huyu hapa unapata samatta 3) alaf 24yrs tuu.

Asikimbilie England embu acheze Uefa mpaka January aone upepo ukoje huko. Akiona anaendana nao then aende ila kama akienda now kama mnavyosema Leicester anaweza akakosa confidence alaf pale mastraika kibao hatapewa nafasi mara kibao watampa loan loan loan atastuka ana 34yrs free agent hata hao Genk hawamtaki tena. Mchezaji mzuri ila soka letu changa so tunamwona star.
 
Natamani acheze UEFA sana nimwangalie jumanne au jumatano...anyway kwenda epl or kucheza uefa it is histry kwake with great legacy to motherland
 
Tumuache aamue yeye
Akifanikiwa ni yeye akishindwa ni yeye
Sisi twamuombea asiumie hovyo
 
Samata yuko fiti,hata ki Mo salah hawakung’aa ktk ligi walizokua wakichezea lkn baada ya kutua England Nyota ikawaka
 
Tumuache aamue yeye
Akifanikiwa ni yeye akishindwa ni yeye
Sisi twamuombea asiumie hovyo
 
Mimi namshauri aende sehemu wanapompa pesa nyingi hata kama hachezi..
Maana kwa sisi ambao soka ni ajira kwa kiasi kikubwa pesa ni kila kitu....
Asijezeeka na legacy bila pesa..
 
Natamani acheze UEFA sana nimwangalie jumanne au jumatano...anyway kwenda epl or kucheza uefa it is histry kwake with great legacy to motherland
Leicester City sio timu mbaya, inaweza kushiriki europa league au ucl msimu wa 2020/21 hasa chini ya kocha Brendan Rogers.

Yule kocha mzuri sana.
 
Usimfundishe woga wa kitanzania.
Obi Mikel au Mo Salah wasingeenda kujaribu England.

Fortune favours the bold.

Obi Mikel alionekana kama kijana mdogo sana na alikuwa akiupiga Under 17 world cup na Nigeria. Mo Salah alivyotoka basel kwenda Chelsea alikuwa 19yrs (kinda) pakamshinda siyo kisa uwezo ila kisa confidence na hakupewa chance. Samatta akienda huko Leicester akiboronga kidogo unafkiri kina ihenacho na perez na vardy watakuwa bench ili apewe nafasi zaidi? Samatta ana 26yrs ana miaka 4 tuu kwa soka la sasa na kwa EPL umri huo unatakiwa uwe kwenye Peak! Abaki Genk afunge 20+ ndo tutajua Sammata knows. He is not Ronaldo. Acha ushabiki Ighalo na Samatta nani mchezaji?
 
Tupende vya kwetu jamani huyo Kalechi Inehacho hana kiwango cha kumfikia Samatta basi tu ana zari na timu kubwa ndo maana hata AFCON hajaitwa kikosini.!

Epl ni ligi ngumu inabidi apambane sana ili kushine manake straika wa level zake wapo wengi sana
 
Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.

1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan Genk) yaani alikosa namba Brighton Pale ila karudi
5.Tammy Abraham
6.Cenk Tosun
7.Ayoze Perez
8.Kelechi Ihenacho
9.Dwight Gayle
10.Gerard Delofeu
11.Troy Deeney
12.Andriy Yarmolenko
13.Adama Traore
14. Diego Jota
15. Ivan Cavaleiro.

Sijawataja kina Aurtonovic hapo na wale wa Championship kama Aleksandar Mitrović (mserbia huyu hapa unapata samatta 3) alaf 24yrs tuu.

Asikimbilie England embu acheze Uefa mpaka January aone upepo ukoje huko. Akiona anaendana nao then aende ila kama akienda now kama mnavyosema Leicester anaweza akakosa confidence alaf pale mastraika kibao hatapewa nafasi mara kibao watampa loan loan loan atastuka ana 34yrs free agent hata hao Genk hawamtaki tena. Mchezaji mzuri ila soka letu changa so tunamwona star.
Acha woga mkuu.

Ingawa pale Leicester Musa na Slimani walichemsha coz kuna Vardy na Okazaki.
Lakini Okazaki anaachwa msimu huu.
Mwache aende. Mwisho wa siku ni bidii zake ndio zitaamua.
 
Obi Mikel alionekana kama kijana mdogo sana na alikuwa akiupiga Under 17 world cup na Nigeria. Mo Salah alivyotoka basel kwenda Chelsea alikuwa 19yrs (kinda) pakamshinda siyo kisa uwezo ila kisa confidence na hakupewa chance. Samatta akienda huko Leicester akiboronga kidogo unafkiri kina ihenacho na perez na vardy watakuwa bench ili apewe nafasi zaidi? Samatta ana 26yrs ana miaka 4 tuu kwa soka la sasa na kwa EPL umri huo unatakiwa uwe kwenye Peak! Abaki Genk afunge 20+ ndo tutajua Sammata knows. He is not Ronaldo. Acha ushabiki Ighalo na Samatta nani mchezaji?
Acha bangi yaani Samata unamfananisha na Iheanacho ?
Hao wote uliowataja hawamzidi vhochote samata.

Europa league ameshaprove two times kwa kufunga magoli ya kutosha, Genk kafunga 20+ msimu mmoja unataka akule tigo ndiyo aprove uwezo wake kwako ?
 
Obi Mikel alionekana kama kijana mdogo sana na alikuwa akiupiga Under 17 world cup na Nigeria. Mo Salah alivyotoka basel kwenda Chelsea alikuwa 19yrs (kinda) pakamshinda siyo kisa uwezo ila kisa confidence na hakupewa chance. Samatta akienda huko Leicester akiboronga kidogo unafkiri kina ihenacho na perez na vardy watakuwa bench ili apewe nafasi zaidi? Samatta ana 26yrs ana miaka 4 tuu kwa soka la sasa na kwa EPL umri huo unatakiwa uwe kwenye Peak! Abaki Genk afunge 20+ ndo tutajua Sammata knows. He is not Ronaldo. Acha ushabiki Ighalo na Samatta nani mchezaji?
Ihenacho ni fundi wa kuchezea mpira tu.
Lakini kwenye matumizi sahihi ya mpira kama kutoa pasi za uhakika za mwisho(assist) au kufunga magoli Samatta yupo kiwango cha juu sana kuliko yule jamaa.

Statistics speaks loudly by themselves, Fuatilia rekodi ya magoli ya ligi kuu za ulaya pamoja na mashindano ya europa au ucl za hao watu wawili.
 
Siyo roho mbaya ila kama mdau wa mpira kuna foward za ukweli pale England (EPL) na Sammata hawezi kuwafikia mfano.

1.Callum Wilson
2.Dominic Solanke (21yrs)
3.Joshua King
4.Leandro Trossard (loan Genk) yaani alikosa namba Brighton Pale ila karudi
5.Tammy Abraham
6.Cenk Tosun
7.Ayoze Perez
8.Kelechi Ihenacho
9.Dwight Gayle
10.Gerard Delofeu
11.Troy Deeney
12.Andriy Yarmolenko
13.Adama Traore
14. Diego Jota
15. Ivan Cavaleiro.

Sijawataja kina Aurtonovic hapo na wale wa Championship kama Aleksandar Mitrović (mserbia huyu hapa unapata samatta 3) alaf 24yrs tuu.

Asikimbilie England embu acheze Uefa mpaka January aone upepo ukoje huko. Akiona anaendana nao then aende ila kama akienda now kama mnavyosema Leicester anaweza akakosa confidence alaf pale mastraika kibao hatapewa nafasi mara kibao watampa loan loan loan atastuka ana 34yrs free agent hata hao Genk hawamtaki tena. Mchezaji mzuri ila soka letu changa so tunamwona star.
Wewe jamaa sio kabisa.

Samatta ataenda Leicester city.
Haina ma forward wa kuwategemea Samata pale anaenda kujichukulia namba
 
Acha woga mkuu.

Ingawa pale Leicester Musa na Slimani walichemsha coz kuna Vardy na Okazaki.
Lakini Okazaki anaachwa msimu huu.
Mwache aende. Mwisho wa siku ni bidii zake ndio zitaamua.

Perez wa Newcastle kashatua pale! Hivi unamjua huyo Perez? [emoji23][emoji23][emoji23]. Anaujua mpaka anakera
 
Wewe jamaa sio kabisa.

Samatta ataenda Leicester city.
Haina ma forward wa kuwategemea Samata pale anaenda kujichukulia namba

1. Ayoze Perez
2. Vardy
3.Ihenacho
4.Islam Slimani
5.Harvey Barnes (West Brom.Loan ana average ya 2.2 shots per game. Muingereza Under 21)
Nambie nani anaweza kuwekwa Bench. Slimani wa kawaida siyo? Samatta ni bonge la straika ila kwenye nchi ambayo haijui mpira. Akacheze luton
 
Ihenacho ni fundi wa kuchezea mpira tu.
Lakini kwenye matumizi sahihi ya mpira kama kutoa pasi za uhakika za mwosho(assost) au kifunga magoli Samatta you kiwango cha juu sana kuliko yule jamaa.

Statistics speaks loudly by themselves, Fuatilia rekodi ya magoli ya ligi kuu za ulaya pamoja na mashindano ya europa au ucl za hao watu wawili.

Statistics pia zinaonyesha Manula ameruhusu magoli machache kuliko De Gea. Hapa tunaongelea EPL na nimetaja wachezaji ambao ni Average kwenye EPL na kwa wanavyoonekana Sammata hawezi kuwafikia sijataja mchezaji hata mmoja wa top 4. Hapo. Ihenacho ana experience ya EPL na ana miaka 22 tuu. Kutoa hizo assists huko Belgium siyo rahisi EPL mabeki yanakaba yana philosophy. Samatta angeenda Leicester akiwa ana 20yrs ingekuwa poa
 
Back
Top Bottom