Samatta hakuwa mfungaji Bora alikuwa mfungaji bora wa pilikitendo cha bashite kuwa karibu na timu ya taifa ni kama kahamishia gundu lake kwa wachezaji.
nyota ya samatta licha ya kuwa mfungaji bora wa league ya ubelgiji msimu uliopita ni kama imeshafifia.
Mbwana anahitaji wachezaji wazuri ili umuone....uzuri wake hawezi kufanya mistakes alikuwa anazifanya Yusuf.ili awe bora lazima awe na wachezeshaji wazuri kwenye eneo la kiungo... Mbwana yupo vizuri ni mchezaji mzuri mwenye kipaji cha mpira
Samatta hakuwa mfungaji bora, alishika nafasi ya 2.kitendo cha bashite kuwa karibu na timu ya taifa ni kama kahamishia gundu lake kwa wachezaji.
nyota ya samatta licha ya kuwa mfungaji bora wa league ya ubelgiji msimu uliopita ni kama imeshafifia.
Na jamaa anajiamini sana anapokuwa na mpira miguuniMbwana anahitaji wachezaji wazuri ili umuone....uzuri wake hawezi kufanya mistakes alikuwa anazifanya Yusuf.
Tatizo lake kujiposition/kukaa nyuma ya beki mpira uwapo mbele.
Sio mbaya.
Nitajie streka ambaye angalau samagoal anamfikia pale EPL.. Anza na timu za chini kabisa maana kwa top 10 hakuna hata mmojaHii roho mbaya inatoka wapi? Hope utakuwa sio mtu wa mpira,ungekuja na uchambuzi kwa sayansi ya soka kwanini hafai kucheza Epl?
Samatta hakuwa mfungaji bora, alishika nafasi ya 2.
mtunisia alipiga goals 25 samatta 23 sema mtunisia katika hizo 25 goals 10 ni za penati kwa hiyo samatta ni wa pili siyo wa kwanzaAcha uwongo wabongo mna nini kuongea vitu msivyo na uhakika navyo Google top score wa Belgium league 2018 /2019 kazi uwongo tu bila sababu kwa nini lakini unashindwa hata kusoma tu unadanganya eti wa pili umetoa wapi hizo takwimu stupid
eh.... hatari sana. Wewe umesoma wapi alikuwa mfungaji bora?Acha uwongo wabongo mna nini kuongea vitu msivyo na uhakika navyo Google top score wa Belgium league 2018 /2019 kazi uwongo tu bila sababu kwa nini lakini unashindwa hata kusoma tu unadanganya eti wa pili umetoa wapi hizo takwimu stupid