Samatta hana kiwango Cha kucheza EPL

ni mpuuzi tu captain mzima unahojiwa unaingiza mambo ya siasa kwenye team,wendawazimu hao wa ccm stars na bashite wao hata hizo 3 hazikuwatosha walitakiwa wabebeshwe zigo la mavi

Mkuu kasemaje? Hutajamsikia sisi wengine.
 
mtunisia alipiga goals 25 samatta 23 sema mtunisia katika hizo 25 goals 10 ni za penati kwa hiyo samatta ni wa pili siyo wa kwanza
Hebu punguza chuki na hasira Mkuu
Samata alikua top scorer bana.....
 
Hebu punguza chuki na hasira Mkuu
Samata alikua top scorer bana.....
punguza chuki kwa mtunisia (harbaoui wa zulte waregem)kujaribu kumuondelea ufalme wake wa magoli ,samatta alikuwa anaongoza kabla ya play offs
league imeisha wa pili labda mumpeleke jecha akapindue hilo suala maana wendawazimu wa lumumba walishazoea haya makorokocho
 
kuna watu wa ajabu sana aisee dah wanaleta ma chart ya april bila kujua format ya league ya belgium jupiler league,hadi kufikia april kabla ya kwenda play off samatta ndo alikuwa anaongoza ,sijui nabishana na wafu?
 
hapana.... lakini kwa kuwa ni CCM anaweza kuwa top scorer wa ligi ya ubelgiji..... ila kiuhalisia yeye alikuwa wa pili.
nawashangaa wana google wanaleta charts za apriol wakati league ina play offs jamaa kaja kumpita mwezi wa tano mwishoni huko
 
ni mpuuzi tu captain mzima unahojiwa unaingiza mambo ya siasa kwenye team,wendawazimu hao wa ccm stars na bashite wao hata hizo 3 hazikuwatosha walitakiwa wabebeshwe zigo la mavi
Tena ni mpuuzi kiwango cha rami *****
 
Samatta anaongea kirahisirahisi tu utafikiri yale yalikua mazoezi ya kawaida...et tujipange..hiyo nafasi tumeipata baada ya miaka 38 bado mnasema tukajipange tena....tena mtu anaongeaongea tu utafikiri ni league ya bongo
 
Chuki zako binafsi na makonda usihamishie kwa dogo,anafanya vizuri kwenye mpira,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Shida ni huyu Jamaa Albert ndo kidudu mtu kaharibu kabisa ladha ya mpira lakini bora dunia ijue kua watu wengi hawaipendi ccm wanatawala kimabavu tu lakini majority hawaikubali
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…