Amepewa nauli na Nani ya kwenda England?Hawa wakina Shafii Dauda ndio watamwaribia Samata mpira. kwa sifa za kijinga na uzuzu...
Naye anataka kujifanya meneja wa Samata badala arudi bongo atafute kazi.... sijui familia yake inaishije, manake hawa local wachambuzi najua hawalipwi zaidi ya wao kufurahia kusikika in tv au radio
Kwa haraka haraka tu nimegundua kwamba hujawahi kucheza mpira hata kidogo...samatta ni no. 9 kazi yake ni kufanya finishing na kunyemelea mipira ya mwisho. Mambo ya kukaba kukokota mipira anawaachia wengine. Mfano mzur ni Ruud van Nisteroy...mtaalam wa kumalizia tu
Mtoa mada umewai mfuatilia samata akiwa simba mpaka Tp Mazembe? Magoli ya kupunguza mabeki kadhaa mbona alifunga sana. Mi naona alivyoenda Genk kocha akaona ni mzuri zaidi ndani ya box
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada hawezi kukuelewa hata kidogo,Kitu ambacho huyu mtoa mada hii hakijui ni kwamba,hivi sasa,samatta anafundishwa mpira tofauti na uke wa genk,anafanya mazoezi tofauti na yale ya genk,na kicha qake deen smith amesema wazi kuwa ni mchezaji mzuri na kwa sasa wanampa mazoezi tofauti sana na baada ya miezi 3,huyo samatta atakiwa tofauti kabisa,tusubiri,jambo la muhimu ni kumpa moyo na kwa jinsi alivyo atamudu,fahamu samatta hanywi pombe,samatta ni mtu mwenye nidhamu ya hali ya juu sana,akitoka mazoezi ni nyumbani na kwa sasa ameajiri kocha wake wa viungo wa binafsi acha yule anayempa mazoezi kwenye timu.atafika mbali kwavmiaka 3 iliyobaki kwake kucheza mpira wa kiushindani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mchezaji aliekuwa wa kuandaliwa mpira kama Ronaldo de Lima ila alitoboa vizuri sana!
Kwa hiyo nyie ni wataalam wa soka kuliko bench LA ufundi la Aston Villa lililo kaa na kukubali kuachana na fedha equivalent na zaidi ya shs bilioni 25 kumpata Samatta?Hao kina mesi, ronaldo,, ni ma beki? Mbona wanatafuta mipira na kutupia kila leo? Huna hoja
Jamani wale watanzania wanaocomment page ya instagram ya Aston Villa.
Waambieni waache ushamba wanatuaibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawia Mkuu ata Tp mazembe alikuwa anapunguza na kukunguta haswa mashuti ndio maana sikushangaa ufalme wa Mputu kuisha. Na Genk kuimba jina lake mtoa mada nadhani kaanza kumtazama mbwana GenkUmeongea ukweli, ata akija Taifa stars huwa anapenda sana kushuka na kukokota mpaka huwa ananikera. Kuna clip ya goli alifunga akiwa Simba alitoka na mpira katikati, akupunguza beki kama nne na akafunga. Jamaa anachuki binafsi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua nitashambuliwa kwasababu waTz hatupendi kuambizana ukweli, hata uone mapungufu ya wazi kabisa tuko radhi tukayaseme pembeni au kukaa nayo kimya.
Kwanza nampongeza alipofika na apangacho Mungu lazima kitimie inawezekana alipangiwa kufika hapo alipo, lakini pia kwenye maisha kuna suala na bahati, inawezekana kafika hapo kwa bahati aliyonayo ukiondoa juhudi na maarifa.
Twende kwenye hoja, ukiangalia samatta aina yake ya ushambuliji utagundua ni mtu wa kutengenezewa kila kitu yani apikiwe, apakuliwe yeye aje kula tu, ligi ya EPL inataka uhangaikaji, utafutaji na sometimes hata kama wewe ni mshambuliaji basi ujue kujitengenezea pia. Ukiangalia magoli ya Samatta toka alipokua Genk utagundua ni mzuri sana kumalizia, yani yeye ni mipira ya kichwa, kama ni mguu basi ile one touch nyavuni, hakina kujitengenezea wala kujitafutia.
Ndio maana tumeanza kusema ooh anabaniwa pasi, hakuna kitu kama hicho, angalia game zote mbili hakuna sehemu ametafuta, zote alikua na mtu anaezengea zengea golini, kibongo bongo tunaita kuibia [emoji1][emoji1]. Sasa kwa wenzetu hata wachezaj wenzie wanamchora tu ni rahis kumuona aah jamaa anasubiri tumpelekee haya aendelee kusubiri, sasa sisi tunatafsiri kama wanambania
Lakini pia Samatta akisema aanze mashambulizi ya kujitengenezea utagundua anawahi sana kuchoka, hana pumzi na hapo ndio linakuja suala la kuongeza juhudi kwenye kijijengea pumzi, tusishangae akianza kutokea benchi round ya pili ikianza. Yote ya yote kijana anajituma anastahili pongezi.
Wenzetu wale hawakawii kukuuza kwa mkopo wakiona mambo sio mambo..