Samatta hatomaliza misimu miwili ndani ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL)

tatizo sio Samatta. tatizo Aston villa hawajui kumtumia. ina maana kabla hawajamnunua hawakupitia videos za mechi za genk kuona anachezaje uwanjani? kama ni mviziaji au mtafutaji?

ndo yale yale unamuoa Diva halafu unalalamika hafui wala hapiki wakati unamjua kabisa ndo alivyo.
 
Tushatukanwa sana tuliosema ukweli kuhusu huyu kijana mwenzetu. Lakini muda utaendelea kutupa majibu. Kibongobongo ukisema ukweli unaonekana mtu wa ajabu/mchawi, KWA SASA Samatta hana physique wala kiwango cha kupambana katika ligi kuu ya Uingereza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inabdi warudi kuangalia video za alipokuwa Genk
 
Tuanzie hapa..
Striker kazi ni nani?
Kazi yake striker ya msingi ni ipi?
Kazi ya ziada ya striker ni ipi? (iwapo team ikiwa imeshinda au kufungwa)

Kuna aina ngapi za ma striker..
Ukiyajua haya basi utajiona mjinga sana.

Kajifunze
So far, jamaa yupo sahihi katika uchambuzi wake. Jambo la msingi endelea kufunga na kuomba utabiri wake wa mwisho usitimie.
 
Aisee!!!
Ila watu mna dhambi sana kwakweli. Didier Drogba yupi uliyemtaja hapa? Drogba huyuhuyu aliyewatesa mabeki wa ligi kuu ya Uingereza kipindi ligi ina mabeki wenye roho mbaya kama wakaanga sumu au Drogba yupi?
 
finally yametimia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inabdi warudi kuangalia video za alipokuwa Genk
kabisa sio wanalalamika ovyo. Van Nistelrooy na Solskjaer magoli yao mengi yalikua ya uviziaji. if a player cant do what a coach wants, may b a coach should let a player do what he wants and what he thinks may work for him.
 


Naona yametimia mechi ya pili anaanzia benchi aisee
 
Ana wake wangapi hapo kwenye kuchoka.
 
Nadhani nilikosea kujaji analysis hii, nadhani mleta uzi yupo sahihi.

Nimeangalia juzi akianzia bench ikanipa wasiwasi na asivyo kuwa mtu wa kutafuta mpira, nahisi anaweza sugua banch zaidi
I think Samatta walimu chuuza kina Shafih Dauada wao target yao ilikua wapate hela mengine atajua mwenyewe huko Aston villa haikua team sahihi kwakwe sababu ina struggle kubaki primer league haina mda wa kujalibia mchezaji tuombee muujiza utokee ibaki league kuu vinginevyo ndio basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…