Chrizo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 714
- 792
Mshambuliaji hatari wa Genk Mbwana Samatta ameisaidia timu yake kupata ushindi kwa kufunga goli 3 peke yake katika ushindi mnono wa Goli 5-2 walioupata dhidi ya Broendby katika mechi ya kufuzu kucheza Ligi ya Europa. Tunampongeza sana kwa kuzidi kuipeperusha bendera ya Tanzania kimataifa [emoji122][emoji122][emoji122]