Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa

Aston villa yenyewe ina hati hati ya kushuka daraja mwaka huu,akienda ataishia championship,bora abaki huko huko
 
Sio kumi tena?
EXCLUSIVE :

Mbwana Samatta to Aston Villa Deal Done. Kesho asubuhi saa 1 anapanda ndege kutoka Dusseldorf kwenda Birmingham kwa ajili ya medical check up. Transfer fee ni takribani £9M
 
Hongera serikali awamu ya tano, kwa kusaidia kupatikana kwa mtanzania wa kwanza kucheza EPL.

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…