Champions League waliishatolewa huko.Tunatofautiana kuwaza,,unatoka champions league kwenda Astonvilla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaaaa.. serikali tena!!??Hongera serikali awamu ya tano, kwa kusaidia kupatikana kwa mtanzania wa kwanza kucheza EPL.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nmemjibu huyo aliyesema abakie genk et kisa Aston Villa inashuka daraja. Sasa hao Aston Villa unadhan wanamsajil samatta ili ajaze kikos au aisaidie Tim isishuke daraja???Sasa uchawi gani kama hapo?. Kwamba anaifanyia uchawi Aston villa ishuke ksbb ya samata kwenda huko?. Au ni timu yenyewe iko kwenye mstari mwekundu kupiga chini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameamua kwenda kushuka daraja
Exposure ya Epl ni tofauti na Belgium. Kwan mara ngapi timu zinashuka daraja alaf wachezaji wazuri wanabaki ligi kuu?Tunatofautiana kuwaza,,unatoka champions league kwenda Astonvilla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataisadia kubaki na kuweka jinaTimu inashuka daraja hiyo
Mm nmemjibu huyo aliyesema abakie genk et kisa Aston Villa inashuka daraja. Sasa hao Aston Villa unadhan wanamsajil samatta ili ajaze kikos au aisaidie Tim isishuke daraja???
Yaan mtu kupiga hatua kimafanikio halaf unamponda huo ni uchaw Kama uchaw mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Na anashuka nayo kweli sio utani.Timu inashuka daraja hiyo
Madalali wa bongo wamepita!!!!Sio kumi tena?
kumbe bado genk ipo champion league nilidhani walishatolewaTunatofautiana kuwaza,,unatoka champions league kwenda Astonvilla?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kibongobongo hiyo ni Sh. ngapi?? Du....Hivi kwenye hiyo 10m mnyama ana kamgao kake au hamna kitu? 10m si mchezo ati!
Acha utani
Genk ya mwaka huu haina kitu tena haiwezi hata kwenda Europa na Maisha ni mafupi, bora aje kwenye ligi yenye mshiko na pia kumtangaza ajulikane. Mchezaji wa timu ya EPL inayoshuka daraja ana mshiko na kujulikana kuliko mchezaji wa Genk iliyochukua ubingwa wa UbelgijiDuh,wabongo kwa kupenda kufanana mawazo hamjambo,haya namtakia kila la kheir huko aendako,ila kwangu mimi,champions league,europa,azisikie kwenye bomba kwani hayo kwangu mimi ni mafanikio zaidi ya kwenda kwenye timu ambayo kwenda huko ni ndoto ya alinacha
Chifu, changamoto ninayoiona kwa Samatta labda umri ingawaje not too old! Hivi umeshawahi kujiuliza ni mara ngapi Samatta ataonesha uwezo wake endapo Aston Villa inabaki EPL?! Kwa mwaka ataangaliwa dunia mzima ya wapenda soka kwa mechi dhidi ya Liverpool, Man U, Man City, Arsenal, Chelsea, na Tottenham. Kama atabahatika kucheza mechi zote hizo, atakuwa anaangaliwa angalau mara 10 kwa mwaka!!Duh,wabongo kwa kupenda kufanana mawazo hamjambo,haya namtakia kila la kheir huko aendako,ila kwangu mimi,champions league,europa,azisikie kwenye bomba kwani hayo kwangu mimi ni mafanikio zaidi ya kwenda kwenye timu ambayo kwenda huko ni ndoto ya alinacha
Ile ya kegere uki iangalia kwa karibu utagundua ni cultureSafi sana, angebaki simba ungekuta sasa hivi anabebeshwa hirizi kama kagere.