Samatta mbioni kujiunga na Aston Villa


Unajaribu kusema nini mkuu
Unajua hao Genk wako na hali gani msimu huu ku quality ucl?

Kwamba epl zinazofeli kwenda ucl na europa sio bora kuliko vitimu vya baadhi ya ligi vinavyo quality kucheza ucl na europa kila mwaka?

Hivi New Castle, Evaton, Leicester nk ambazo ni muda sasa hazijacheza ucl/europa sio bora kuliko akina Maribo, opel nk wanao quality kila mwaka kutoka kwenye viligi vyao?

Kucheza ucl ni jambo jema na ndoto ya kila mchezaji lakini inategemea na timu pia
Leo hii huwezi kumtoa mchezaji Asernal aende Malibor sababu eti ina qualify ucl kila mwaka

Wachezaji woote wanaocheza ligi ndogo za ulaya ndoto zao ni kwenda ligi kubwa ulaya sababu ya exposure na malipo mazuri zaidi

So inapotokea mtu unabeza hili ni labda haujui mpira vizuri
 
Kweli awamu ya tano ni awamu ya mafanikio. Hongera sana mh JPM. Kwani kwa awamu zote nne MTZ hakuwahi kucheza ligi ya EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo tayari?
EXCLUSIVE :

Mbwana Samatta to Aston Villa Deal Done. Kesho asubuhi saa 1 anapanda ndege kutoka Dusseldorf kwenda Birmingham kwa ajili ya medical check up. Transfer fee ni takribani £9M
 

Ngoja kwanza kilevi kinitoke kesho nitakujibu vizuri mkuu inshallah
 
Wabongo wameteka page zote za Aston villa... comment za huko utacheka ufe😂
 
Nini tazito? Mbona Aston Villa hawataki kumtangaza?
 
Straika wao Wesley kaumia na atakaa nje ya uwanja mpaka msimu ujao tena.

Na ikishuka Championship kupanda tena ni majaliwa; ya Wigan athletic yalee nayaona.
Team ikishuka mchezaji anaweza kuuzwq kwenye timu nyingine. Si lazima ashuke na timu. Pale anatakiwa anaoneshe viwango vya akina Mane au zaha au Adama atauzika kwenye timu nyingine kubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na ufungaji wa mabao pale jupiter league lakini kikubwa kilicho mtangaza zaidi Samata ni kuonekana kwenye platform ya uefa champ league na haswa baada ya kuscore dhidi ya liverpool mara mbili kama sio refarii kukataa ile header ya hatari

Epl pia ni platform kubwa sana tena mbali sasa kwa jupter league
Jupiter league haiifikii hata championship, ananafasi kubwa ya kuonyesha uwezo hata timu ikishuka akauzika
Umri wa Samata sio rafiki tena kuendelea kusubiria ndoto zake......its a do or die.........Tumuombee afanikishe

Wachezaji wanaangali mambo mengi sana ikiwemo maslahi pia na kupanua wigo wa soko lao

Nadhani epl ni mahali sahihi sana kwa Mbwana kikubwa ni kukaza na kuonyesha ubora wake then hakuna kitu kitaharibikia
Lakini hata kama atakwenda liverpool na akafeli kufanya vizuri atapotea tu

Issue kubwa ni anakwenda kuonyesha uwezo epl?
Maana hata huko Genk ilikua ni kama haivi na kocha mpya alikua anaanzia bench kila mara tofauti na msimu uliopita ilikua piga ua first 11 yupo
 
Ukimya na upole wa Salim KIkeke unatia mashaka kama kuna deal huko Birmingham.
Mechi dhidi ya Brighton ni muhimu sana kwa sasa kuliko kumtangaza Samatta, ingawaje tayari wamehachomekwa kimoja!!! Kumtangaza au kutomtangaza kwa muda tuliotarajia hakuwezi kuleta impact yoyote kwa team ukilinganisha na ku-concentrate kwenye mechi ya kibonde mwenzao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…