Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Snapinsta.app_456814102_18459513175047601_2307312662318856575_n_1080.jpg
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman akitaja Kikosi kitakachoingia kambini Agosti 28, 2024 kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Septemba 4 na Septemba 10, 2024.

Kocha Morocco amewacha Mbwana Samatta na Saimon Msuva katika Kikosi hicho kitakachocheza dhidi ya Ethiopia na Guinea huku akimrudisha kikosini Mlinzi wa Yanga SC Dickson Job ambapo katika kikosi kilichopita kukosekana.
 
Zama za Alhaji Mzize zimewadia rasmi. Ngoja tuone na yeye kama atatubeba mgongoni mwake. Apewe na ucaptain kabisa. Forward yetu imekuwa butu sana.

Hivi wale wachezaji wa nje damu mchanganyiko tumewatosa wote?
 
Amechagua vizuri. Vp Beno?
 
Kwani tunafuzu basi??
 
Zama za Alhaji Mzize zimewadia rasmi. Ngoja tuone na yeye kama atatubeba mgongoni mwake. Apewe na ucaptain kabisa. Forward yetu imekuwa butu sana.

Hivi wale wachezaji wa nje damu mchanganyiko tumewatosa wote?
Makipa Wawili tu!!
Wanabeti ama
 
Mimi nadhani Manula kama yuko fit basi still ni bora kuliko hao makipa wa akiba, experience muhimu sana. Ila hawa wachezaji wa Azam wote wa nini? hatua ya makundi tu wameshindwa kuisadia team yao huku watatoa msaada gani wa maana.
 
Back
Top Bottom