Samatta, Mwamnyeto na Manura wakutwa na Covid-19

Samatta, Mwamnyeto na Manura wakutwa na Covid-19

Hichilema

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,608
Reaction score
1,687
Kuna taarifa za chinichini kuwa naodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta, beki wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na golikipa wa Simba Aishi Manura kuwa wamekutwa na Covid-19 huko Madagascar.

Je, taarifa hizi zina uhakika kiasi gani?
 
Kuna taarifa za chinichini kuwa naodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta, beki wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na golikipa wa Simba Aishi Manura kuwa wamekutwa na Covid-19 huko Madagascar. Je, taarifa hizi zina uhakika kiasi gani?
Samatta Hana sifa ya kuitwa nahodha,Anamaliza nauli zetu kwa kumwita she kucheza.
 
Usikute wana tulipizia, kwani kwenye mechi ya kwanza wachezaji wao wangapi tuliwa kuta na corona!
 
Wajifunze kwa uto tu,wakomae wapewe certificate za kuthibitisha kukutwa na huo ugonjwa,wasipopewa wasiingize timu uwanjani
 
Mkuki kwa nguruwe ehee, mara ngapi tumekuwa tukifanya hujuma kama hizi?!
 
Kwani hao kina Manula wakiwepo wanasaidia nini?
 
Back
Top Bottom