John Kombo
Member
- May 15, 2013
- 31
- 16
kila mtu atajifanya anajuana na mtu huyu.
Msaada
Hivi soka la tanzania linasimamiwa claude fm au Tff?
Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka wapige mpuga kupitia Samatta?
Mana sasa hv hatusikii diamond wala ally kiba, wasije wakamtumia kama jaydee na wengine walivyotumika.
Vipi kijana wa TISS upo??
Wewe si unasemaga humu kwamba ni kijana wa TISS...TISS Hapa Imeingiaje? Na Nina Husika Vipi Nao? Sipendi SHOBO Sawa?
Hahaa acha hizo
Msaada
Hivi soka la tanzania linasimamiwa claude fm au Tff?
Nilidhani serikali na Tff ndiyo ingekuwa na dhamana ya kupromote na kumwandalia sherehe Samatta, au claude fm wameona fursa wanataka wapige mpuga kupitia Samatta?
Mana sasa hv hatusikii diamond wala ally kiba, wasije wakamtumia kama jaydee na wengine walivyotumika.
Vitz 4Naombeni mnisaidie kitu,hivi Samatta kalamba sh'ngapi au ni tuzo tu isiyo na chochote ??????
Mkuu edit signature yako.Clouds wanawatumia binadamu kama furusa.Ni watu hatari sana
hata na wewe ukitaka nenda kamfanyie sherehe ushindi wa samatta sio wa ruge wala wa malinzi ni wa watanzania woteMsaada, Hivi soka la tanzania linasimamiwa Clouds FM au TFF?