Wadau, kuna baadhi ya watu wanabeza uwezo wa samatta kuwa ni wa kawaida, nadhani hawamfatilii , jamaa kwa sasa yuko kwenye kiwango cha hali ya juu hata kucheza Epl, na ndio maana club yake wamempa mkataba mrefu ili waje wapige hela ndefu, jana katupia tena Genks 3 - gents 1.