Genks ndio timu ya wapiWadau, kuna baadhi ya watu wanabeza uwezo wa samatta kuwa ni wa kawaida, nadhani hawamfatilii , jamaa kwa sasa yuko kwenye kiwango cha hali ya juu hata kucheza Epl, na ndio maana club yake wamempa mkataba mrefu ili waje wapige hela ndefu, jana katupia tena Genks 3 - gents 1.
Hakuna timu inayoitwa Genk's ...ni KRC Genk sawagenks vs gents mh
Genks ndio timu ya wapi
genks vs gents mh
IwambiGenks ndio timu ya wapi
Kwao na kikweteGenks ndio timu ya wapi