Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Umri unamtupa, arudi tu nyumbani achukue nafasi ya Sapong hapa Jangwani.Huyu alichemka Villa Park....Uturuki nako jamaa wanalalamika hafungi magoli.....
tunamuombea arudi kwenye peak
Kwa hyo hata kukontroompira unahitaji wenzio wawe professionalProfessional footballer mmoja unacheza na wachezaji wenzio wa kawaida unategemea atafanya muujiza gani hapo.
Suala la kuumia lisiwe kichaka cha kufichia uduni wa uwezo wake kwa sasa, kwani kina Msuva wanaocheza kwa kujituma hawahofii kuumia?Mtamlaumu bure...watanzania wanafiki mwacheni kwani akiumia hapa hana msaada
Kuoga maji yaulaya nako kunaraha yakebanaSuala la kuumia lisiwe kichaka cha kufichia uduni wa uwezo wake kwa sasa, kwani kina Msuva wanaocheza kwa kujituma hawahofii kuumia?
Umri unamtupa, arudi tu nyumbani achukue nafasi ya Sapong hapa Jangwani.
Tangu yuko mazembe hajawai kuwa msaada starzKuna muda lawama zinamuangukia mtu kutoka kwa watu, wengine awanasema kama vipi hasiitwe hapo hapo hasipoitwa watauliza kwanini hajaitwa? yote kwa yote lazima utambue mchango wa kapteni samatta ndani ya uwanja. nyie mnamuona anatembea lakini anatembea na akina nani?.
linapokuwaja swala la mpira hususa mpira wa kisasa effort ya mtu mmoja mmoja haiwezi kuleta impact kubwa kama sio team work. tujiulize samatta asipofunga nani atafunga? samatta asipokuwa na mpira nani atakuwa nao?
vitu vya vinavyotumia nguvu na akili vinaendana sambamba na umri, ushajiuliza anaumri gani? je ile kasi alokuwa nayo miaka mi5 nyuma unadhani atakuwa hadi sasa (kwa mpira wa afrika)??
Tusijenge misingi ya kumlaumu mchezaji pasina kujua tupo kwenye wakati gani?? baada ya samatta kuibeba Tanzania within 7 years back nani mwingine atavaa kiatu cha samatta??