OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Mar 29, 2021 #21 kwa kweli hata pale Simba Sc hawezi kupata nafasi huyu
M Mkwekwe_mchanja Senior Member Joined Oct 16, 2020 Posts 153 Reaction score 170 Mar 30, 2021 #22 Albinoomweusi said: Tangu yuko mazembe hajawai kuwa msaada starz Click to expand... sio kweli, samatta amekuwa nyota na tegemezi kwa stars toka alipojiunga mazembe na ndo mchezaji pekee hakuwai kuachwaga na timu ya taifa.
Albinoomweusi said: Tangu yuko mazembe hajawai kuwa msaada starz Click to expand... sio kweli, samatta amekuwa nyota na tegemezi kwa stars toka alipojiunga mazembe na ndo mchezaji pekee hakuwai kuachwaga na timu ya taifa.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Mar 30, 2021 #23 Samatta zamanzake zimeshapita kama ilivyozoeleka kwa wachezaji wetu... Ni muda sasa wa kuibua wengine
Samatta zamanzake zimeshapita kama ilivyozoeleka kwa wachezaji wetu... Ni muda sasa wa kuibua wengine