Samatta Vs Beşiktaş

Samatta 2 goals and 1 assist.

3 goals in 3 games.
 
Hilo goli la kwanza sio mchezo.
Jamaa ni wazi anaonesha kua ni mchezaji wa kucheza mpira ulaya na ndipo aliko akiendelea na msimamo wake hvyo hvyo bas atafika zaid ya hpo.
 
Hilo goli la kwanza sio mchezo.
Jamaa ni wazi anaonesha kua ni mchezaji wa kucheza mpira ulaya na ndipo aliko akiendelea na msimamo wake hvyo hvyo bas atafika zaid ya hpo.
goal tamu san ila full back 2 wa genk yuko vizuri sana
 
Huyo jmaa wa ukrain ndio nnaemzungumzia ni mzur sana kiupi team yao imejichagua wako vzur.
wanaongoza ligi ya ubelgiji pia na samatta ana goal 6 au 7 kwenye ligi ,europa 3 na fifa game mpya kapewa 77 yupo namba 6 katika walio high ranked kwenye game ya fifa ligi ya ubelgiji kwa mwendo huu game ya mwakani atapata hata 82
 
kuna mtu alisema ooh akikutana na mabeki kama pepe sijui nini sijui nini na bahati mbaya pepe na ryan babel jana hawakucheza natamani wangekuwepo ili samagoal awaaibishe vizuri ila njemba hii ya croatia iliona moto wa mbagala ulivyo
mpira ulivyoisha baadhi ya mashabiki wa bestikas waliwashangilia genk na kuwazomea wachezaji wao ,director akawawakia sana dressing room
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…