Angefaa Real Madrid
Angefaa Real Madrid
Huko bado sana.....
Eti eeh aende kumrithi Ronaldo akitimkia zake PSG huku akipiga mabao yakutosha!!
Hhahaha mkuu kule mbali.nilazima kwanza awe mchezaji wa kiwango cha dunia.
kwa chelsea ya sasa anapata namba kabisa, tena first eleven analiweka bench licosta
Si nilisikia anatimkia zake majimaji vipi mshahara waliomuandalia wa $ 48,000/= kwa wiki ni mdogo kwake ??
Yanga tumemuandalia $85,000 ya usajiri na mshahara wa $3,500.
Maongezi bado yanaendelea na tumefikia pazuri.
Kumbe kimada mkuu, pole