Samatta wenu namuuza Lille

Yaah ina nadhani hata moise katumbi nae kajifunza pia kwa kilichotokea kwa treasor mputu kaja kuuzwa Angola.
 
Yanga tumemuandalia $85,000 ya usajiri na mshahara wa $3,500.
Maongezi bado yanaendelea na tumefikia pazuri.

Yanga muache mizaha sasa,mtu yuko levo za ?700,000 nyinyi mnatoa $85,000? Kwani mnafikiri ni Coutinho huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…