Sambaza upendo

Sambaza upendo

majata

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2010
Posts
431
Reaction score
180
Ndugu wanajamii forum wenzangu, kutokana na mwenendo wa janga la corona duniani kwasasa njia mojawapo muhimu kuchukua wakati huu ni kuhamasishana zaidi namna ya kuvunja mianya ya usambaaji wa huu ugonjwa ambao kwasasa hata kwetu hapa Tanzania tunao.

Njia kubwa na Muhimu kwasasa ni kuvunja namna yoyote inayoweza kutupelekea tukaambukizwa ama kuambukiza wengine, mpaka sasa bado fursa ya kumshinda adui ipo tukitumia muda wetu kuhamasishana namna ya kujikinga hasa kujitenga na makundi hasa tunapokuwa hatuna ulazima sana wa kukutanika na ikishindikana basi tusiache kutumia mask na kunawa mikono, kusimama umbali sawia kama inavyoshauriwa na kubwa zaidi.
 
Tuchukue tahadharii
 
Back
Top Bottom