Samburu, Kenya: Watishia kuua watoto wao ili kuwaokoa na kuteseka kwa kifo kinachotokana na njaa

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
samburu.jpg

Wakazi wa kijiji cha Suiyan huko Samburu nchini Kenya, wametishia kuwaua watoto wao ili kuwaokoa na kuteseka kwa kifo cha taratibu na mateso, kutokana na njaa.

Kwa mujibu wa muwakilishi wa wanawake kutoka eneo la Samburu, Maison Leshoomo, jamii hiyo ya wafugaji imekuwa ikipoteza mamia ya mifugo, ambayo ndiyo tegemeo la maisha yao, na kuitaka serikali na wafadhili kuwapa msaada wa chakula ili kuwaokoa wakazi hao wanaokabiliwa na njaa kutokana na ukame

“Familia nyingi zimeachwa hazina kitu kabisa, ndio maana baadhi ya wanaume wametishia kuua watoto wao kuliko kuwashuhudia wakiteseka na njaa na hawana kitu cha kuwapa kula”, amesema Leshoomo.

Kwa upande wakechifu wa kijiji cha Suiyan Karoli Leraul, amesema watu wenye silaha pia wamekuwa wakiwavamia na kuiba mifugo yao, na mwaka 2017 takriban mifugo 7,000 iliibiwa na watu hao.

Chanzo: EATV
 
but I always get confused with this kind of middle income economy. it is of its own kind. one side of the country is languishing in an extremely poverty and the other one is rich.
 
Waje wanunue mahindi, sisi tunayo mpaka yanaozea godown
 
but I always get confused with this kind of middle income economy. it is of its own kind. one side of the country is languishing in the poverty and the other one is rich.
Hahaha unaweza kucheka kama mazuri
ila iñaumiza sana
ajabu wapo Wajinga humu kutwa Ni Milionea wengi
au GDP kubwa !!
Kenya ndio Taifa la hovyo EA
kiukweli Ukitembelea vijiji vya Kenya kama huna Roho ya Shetani utalia na Kushindwa kuendelea na Safari
kuna watu wanashida kweli kweli
kosa vyote si Chakula
 
Mimi nipo kiruna- Sweden nayajua matatizo ya hapo EAC tofauti na unavyodhani wewe

Hapo Kwetu Tanzania navijua vijiji zaidi ya 200 ambavyo hata kuonja balance diet bado ni ndoto

Siyo hivyo hata mijini bado nako ni shida watu wanaishi kwenye makazi duni clustered house ( nyumba msongamano)

Sasa nasikia mmepata kiongozi wa wanyonge miaka inapita sasa bado anashukuru Kwa kuchaguliwa

Kenya ,somalia,Sudan na hapo kwetu sote tunacheza kwenye extreme poverty

People of African descent ,napenda afrika nitakuja afrika ,nitakuja nyumbani
Hata nchi zilizoendelea pia kuna tofauti ya maendeleo, zito haziposawa japo zote zimeendelea, na huku kwetu ni hivyohivyo, japo wote ni masikini lakini hatuposawa, tunapishana sana, Tanzania hatujafikia hatua ya watu kufa kwa njaa kama ilivyo Ethiopia, Kenya na South Sudan hadi dunia nzima inashituka na kuingilia kati kugawa chakula, au wazazi kufikiria kuwaua watoto wao kuliko kuwaona wakiteseka, ni kweli wote ni masikini lakini hali ya Kenya, South Sudan, Somalia na Ethiopia imezidi sana, hatujafikia huko.
 
Kuna Watu ukiwaambia Kenya wameshaindoa KANU( CCM ya Kenya) Miaka zaid ya 15 iliyopita lakin Hakuna cha maana zaid ya blaa blaa hawapendi kukubali!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mimi nipo kiruna- Sweden nayajua matatizo ya hapo EAC tofauti na unavyodhani wewe

Hapo Kwetu Tanzania navijua vijiji zaidi ya 200 ambavyo hata kuonja balance diet bado ni ndoto

Siyo hivyo hata mijini bado nako ni shida watu wanaishi kwenye makazi duni clustered house ( nyumba msongamano)

Sasa nasikia mmepata kiongozi wa wanyonge miaka inapita sasa bado anashukuru Kwa kuchaguliwa

Kenya ,somalia,Sudan na hapo kwetu sote tunacheza kwenye extreme poverty

People of African descent ,napenda afrika nitakuja afrika ,nitakuja nyumbani
Kwani nani amekuuliza wapi.?umeelewa habari inazungumzia nin.?
 
Sawa chief hata sisi hapo nyumbani hutuko salama nguvu na jitahada za ziada zinahitajika kujenga nchi Kwa ueledi
Ukirudi Tanzania utakubaliana na sisi kwamba Tanzania sio ile uliyoiacha miaka kadhaa iliyopita, jamaa anaibadilisha sana, hivi kwa mara ya mwisho ulisikia lini majambazi wamevamia sehemu yoyote na kupora?, hiyo ni dalili kwamba jamaa yupo total control, inakwenda katika mstari ulionyooka sana, zidi kuiombea nchi yako Tanzania.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
KichwaNgumu254 n Jay456watt njooni muone middle income.

Middle income inaonwa wapi!? Middle income is experienced,middle income is a lifestyle, not a mere status symbol but tangible worth of value to influence both horizontal and vertical chains of purchasing power and value addition!
Ukiona ''middle class'' on display huko bongo know that it's a fleeting feel-good of wannabes.

I'm currently living my dream,no need to ''experience'' others'.
 
ni wapuuz yaan una mangombe mengi alafu unalalama njaa si uuze ununue chakula ?
 
Ukirudi Tanzania utakubaliana na sisi kwamba Tanzania sio ile uliyoiacha miaka kadhaa iliyopita, jamaa anaibadilisha sana, hivi kwa mara ya mwisho ulisikia lini majambazi wamevamia sehemu yoyote na kupora?, hiyo ni dalili kwamba jamaa yupo total control, inakwenda katika mstari ulionyooka sana, zidi kuiombea nchi yako Tanzania.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
kaibadilisha kwenye nn wakati matatizo yamekuwa too much?
 
Middle income inaonwa wapi!? Middle income is experienced,middle income is a lifestyle, not a mere status symbol but tangible worth of value to influence both horizontal and vertical chains of purchasing power and value addition!
Ukiona ''middle class'' on display huko bongo know that it's a fleeting feel-good of wannabes.

I'm currently living my dream,no need to ''experience'' others'.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Huu ndiyo mwisho wa watu wanye kutetea serikali ya majambazi na majizi
 
Middle income inaonwa wapi!? Middle income is experienced,middle income is a lifestyle, not a mere status symbol but tangible worth of value to influence both horizontal and vertical chains of purchasing power and value addition!
Ukiona ''middle class'' on display huko bongo know that it's a fleeting feel-good of wannabes.

I'm currently living my dream,no need to ''experience'' others'.
Wenzio wanakunywa maziwa ya mbwa na kula nyama ya mbwa Kenya hiyohiyo!
 
Mimi nipo kiruna- Sweden nayajua matatizo ya hapo EAC tofauti na unavyodhani wewe

Hapo Kwetu Tanzania navijua vijiji zaidi ya 200 ambavyo hata kuonja balance diet bado ni ndoto

Siyo hivyo hata mijini bado nako ni shida watu wanaishi kwenye makazi duni clustered house ( nyumba msongamano)

Sasa nasikia mmepata kiongozi wa wanyonge miaka inapita sasa bado anashukuru Kwa kuchaguliwa

Kenya ,somalia,Sudan na hapo kwetu sote tunacheza kwenye extreme poverty

People of African descent ,napenda afrika nitakuja afrika ,nitakuja nyumbani
Unasikia!!
sina lakuongeza endelea kusikia
 
Back
Top Bottom