Elections 2010 Same mashariki ni kumkoma nyani

Selungo

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2009
Posts
1,271
Reaction score
403
WERA WERAAAAAAAAAAAA! Ngoma inogile, hapa nimetoka kumfukuza mtu bungeni na pia kumvukuza mtu kazi kama vile alivotishia kunifukuza kazi kama.

Inatia raha saaaaaaaaana hasa kuona hapa Gonja, vijana wamejitokeza kwa wingi. Kila mmoja akionyesha kukasirika ile mbaya kwa ishara ya kwenda kuuwa watu na chama chao. Haki ya nane hakuna cha sijui PATACHIMBIKA wala nini. Kwa uhakika Mpaka sasa hivi mama wa PATACHIMBIKA chaliiiii!

PEOPE'S POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!
 
Aaaaaahhaaaahhhaa kwa huyo mama pagumu! Lakini nakutakieni heri
 
Jamani acheni sound Mama Kilango nae mwataka BP ipande?
 
Wera wea wearaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimechinja mtu mimi
 
WAKUU HESHIMA MBELE.

Mama sio BP tu huenda na kiharusi kikafuatia wakuu. Kwa hali niliyo iona bandugu, nina hakika anaishi na kuhema kwa matumaini. Wana Same Mashariki wameahaamua kuuwa kabisa. Subiria mambo usiku huu. Tumesha mwambia :yield:
 

Lakini nasikia ni upande wa gonja tu Kilango hana nguvu kwingine anakubalika sana ebu nihakikishie kwamba anang'oka with reference to other polling stations. Kila nikisikia kuna jimbo CCM inapoteza nazidi kusisimka kwa furaha, yaani leo sibanduki kwenye internet.
 
aloo evava teta ki uko..
 
mimi nampenda huyu mama kwa jinsi anavyojitutumua bungeni.nadhani anakubalika bado kwa wapiga kura wake.ATASHINDA!
 
Mkuu huyo mama ni habari nyingine, sina uhakika na usemayo!
 
Hana jipya ni mjanja mjanja fulani hivi; kama huamini ngoja uone atakavyomkimbia Tinga Tinga kwa vile mambo yamemharibikia huko Mtera; just another Gold -digger!!
 
We Paka na wenzio, acheni hizoo! Hebu ongeeni lugha ya taifa tuelewe wote...vose..vose..blah blah
 
We Paka na wenzio, acheni hizoo! Hebu ongeeni lugha ya taifa tuelewe wote...vose..vose..blah blah

Yeshua;

Umetukumbusha jambo la nguvu sana ..wakati huu tunapolirejesha Taifa katika misingi ya Uasisi wake...

..No Udini, No Ukabila, No ufisadi, No ... No... divisions...No No!!

hayo ndio walitaka mafisadi..tumewaona...tumewapiga chali...huko hatupo..!!

Watanzania ni watu wa Utu..Yaani Peoples Power... na Utu Ni ubinaadamu!!!

Na Utu ...ni Uungu ndani ya Mtu...Ndio maana sasa tunaimba kwa full shwangwe Mungu ibariki Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…