Same Secondary high School ipo wapi?

alvn2

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
12
Reaction score
0
jaman me nmechaguliwa same sec high school kwa anae ifahamu iyo shule naomba anieleze ipo vip na ufaulu wa shule na pia michepuo ya sayansi ipo?
 
jaman me nmechaguliwa same sec high school kwa anae ifahamu iyo shule naomba anieleze ipo vip na ufaulu wa shule na pia michepuo ya sayansi ipo?
 
Kuchaguliwa leo?
Tena unataka ushauri?
Kama hupendi waachine wenzio wachukue hiyo nafasi yako.
 
We dogo inaelekea motto wa mama sana, yaani hata kujihangaisha kidogo tu umeshindwa mpaka UULIZE? huko SAME HIGH SCHOOL hapakufai wataishia KUKUF.LIMBA maana unaelekea laini sana na pale kuna shida ya maji na chakula so jiandae kugharamiwa
 
Dogo same boys Ipo mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya same km 2 kutoka same town ila hakuna maji dogo kuhusu michepuo ni pcm PCB cbg egm hkl hgl
 
Same ufaulu ni we mwenyewe wapo waliopata division one na ya tatu na wapo wanaopata zero wengi tuu...Michepuo mama ni pcm na pcb,,, nyingine ni cbg, hgl, hgk, hkl... Maabara zipo tatu ya chemistry, physics na biology.... Hamna shida ya chakula,,,,utakula wali ndondo mara3 per week... Pilau jmosi,, kande mara mbili na ugal nyama siku moja...usiku ratiba iko constant = ugali ndondo kuhusu maji pale ni semi desert kama una viela kidogo utayanunua masandare kwa bei nafuu,,,, kama mwenzangu na mimi wiki mbili tu utazoea kuoga mara moja kwa wiki na kuhifadhi maji ya kunywa na kidumu kwenye tranka...unless ugombee uongozi utapata chemba ambayo ni rahisi kuchota maji mengi na kuhifadhi... Kuhusu ukorofi same saiv ni seminary ndogo... Ukileta ukorofi kuna kassio, mzee wetu, swedi na mwasyeba utatimuliwa faster na kama unasimu ishia nayo mjini kuepusha matatizo,,,, all in all hakikisha unapata division one ili ukihadisia ugumu wa maisha unawaeleza lakini nilipata division one kama mimi😁😁 bye kwa sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…