LGE2024 Same: Wananchi waingia mtaani kwa ajili Mwembe Mbaga Samia Day kuhamasisha ushiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 Same: Wananchi waingia mtaani kwa ajili Mwembe Mbaga Samia Day kuhamasisha ushiriki kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Naona ile idea ya Kizimkazi Festival inazidi kusambaa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Baadhi ya wananchi wa Tarafa ya Mwembe Mbaga, Wilaya ya Same, Kilimanjaro, wamejitokeza kushiriki Mwembe Mbaga Samia Day, tukio maalum lililolenga kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.

Tarafa hiyo, yenye kata saba, vijiji 22, na vitongoji 126, licha ya kuwa na rasilimali na utamaduni wa kipekee, inakabiliwa na changamoto za kijamii na kisiasa, hivyo tukio hilo limekuwa jukwaa la kuhamasisha mabadiliko kupitia ushiriki wa kidemokrasia.

=====================================================

Uchawa sasa hivi umetoka Daslaam umeenda mpaka Same. Inasikitisha mno!


 
Nashauri wangekodi lori la samaki kutoka Mwanza wakapeleka hapo ili kuwagawia, wangepata watu wengi sana
 
Back
Top Bottom