Sameer Rao wa kwenye ukurasa wa JF Facebook ni Nani?

Status
Not open for further replies.

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
29,909
Reaction score
32,414
Wakuu habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kumfahamu huyu huyu SAMEER RAO wa ukurasa wa jamiiforums Facebook ni Nani?...

Msingi wa kutaka kumfahamu ni
kwasababu hakuna link/habari yeyote ya Jamiiforums wanayopost Facebook bila kumtag huyu mtu, Pia nimewiwa kumfahamu kutokana na watu wengi kwenye page hiyo yenye takribani wafuatiliaji zaidi ya 3million kuulizia kuhusu mtu huyo.
Pamoja nkumuulizia huko, binafsi nimefanya utafiti binafsi wakutembelea page yake pasipo kukuta taarifa zake za msingi zaidi ya picha yake ionekanayo mtu mwanamume mwenye asili ya kihindi.
- Hivyo basi mods Paw Invisible Maxence Melo na wengineo mnaweza kunifahamisha huyu MTU ni Nani? Na anaunasaba gani na jamiiforums?
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU,

WAKIKUJIBU VEMA NITAG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa nickname yake anajiita The coder. Na anadili na hizi mambo :

Penetration Tester | Security Researcher |
Programmer | Influencer.

Sidhani kama anakuwa tagged kwa bahati mbaya.
 
Umeona melo anakuja kurusha watu wa huko JF kama ninyi mnavyojaribu kutujulisha watu wenu ni akina nani huko? Na wewe unaona kila anachofanya melo unatakiwa kuiga?

Kwa hiyo wewe una akili kumzidi Melo aliyeamua akafungue page kule FB?!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom